Koto-info

Koto-info (Swahili)

-mwongozo na ushauri kwa wahamiaji

  • Tunatoa mwongozo na ushauri katika eneo la Nurmijärvi. Kwenye Koto-info utapata maelezo juu ya maisha ndani ya Ufini, haki ya ukazi, utendaji kazi na huduma zipatikanazo katika Nurmijärvi.
  • Mshauri wa huduma husaidia na kuelekeza. Tutakuja kumtumia mkalimani ikihitajika.

Wasiliana nasi:

simu 040 317 4106

Koto-info@nurmijarvi.fi

Kuonomäentie 2, ghorora la 3,
01800 Klaukkala

Masaa ya huduma:

J’tatu (siku ya 1)–J’nne (siku ya 2) saa 6-9.30 (12-15.30) au kwa miadi
Jumatano 17.01.24 saa 12-3.30pm maktaba kuu ya Nurmijärvi, Punamullantie 1,
01900 Nurmijärvi